LOADING...

Liberation for the New Generation

RAUDHWA Modern Islamic Schools

Liberation for the New Generation
Admission into Form Five 2026
TUKIO KUU

Admission into Form Five 2026

Be a part of champions and family

Shaping Future Leaders with Knowledge & Faith
TUKIO KUU

Shaping Future Leaders with Knowledge & Faith

Join Raudhwa Modern Islamic School and experience quality education, modern learning facilities, ICT integration, and strong Islamic values

Knowledge Begins Here
TUKIO KUU

Knowledge Begins Here

Every book opens a new opportunity. Every lesson builds confidence. Every student is prepared to become a responsible leader of tomorrow.

Learning Today, Leading Tomorrow
TUKIO KUU

Learning Today, Leading Tomorrow

At Raudhwa Modern Islamic School, we nurture confident learners through academic excellence, Islamic values, digital innovation, and character development.

Read. Learn. Grow.
TUKIO KUU

Read. Learn. Grow.

Our students enjoy a modern learning environment equipped with books, computers, and digital technologies that enhance critical thinking and innovation.

Where Faith Meets Excellence
TUKIO KUU

Where Faith Meets Excellence

We believe education should strengthen both the mind and the character, preparing students to become ethical and successful global citizens

Unlock Your Child's Potential
TUKIO KUU

Unlock Your Child's Potential

Join a school that values academic achievement, Islamic identity, innovation, and holistic development for every learner.

Excellence in Education, Excellence in Character
TUKIO KUU

Excellence in Education, Excellence in Character

At Raudhwa Modern Islamic School, we inspire students to achieve academic excellence while nurturing strong Islamic values, integrity, discipline, and leadership for a brighter future.

0%
Ufaulu wa Kitaaluma
0%
Maadili ya Kiislamu
0
Ufaulu
0%
Nidhamu Bora

Elimu ya Kiislamu

Misingi imara ya maadili na malezi ya Kiislamu.

Ubora wa Kujifunza

Mtaala wa kisasa na mbinu bunifu za ufundishaji.

Teknolojia ya Kisasa

Madarasa mahiri na mazingira ya kisasa ya kujifunza.

Maendeleo Kamili

Ukuaji wa kitaaluma, kiroho, kimwili na kijamii.

Ujumbe kutoka kwa Mkurugenzi

Sheikh Abduljalilu S. Mustapha

Assalamu Alaikum Warahmatullahi Wabarakatuh,

Katika RAUDHWA MODERN ISLAMIC SCHOOLS, tunajivunia kuwa shule inayotoa elimu bora na maadili mema. Dhamira yetu ni kuwaandaa wanafunzi kuwa viongozi wa kesho wenye weledi na imani thabiti. Karibu sana katika familia yetu.

Sheikh Abduljalilu S. Mustapha
Sheikh Abduljalilu S. Mustapha
MKURUGENZI MTENDAJI
Soma Zaidi

Habari Mpya Zote

PRE FORM  ONE
18 Aug 2026
PRE FORM ONE

Jiunge na Chaneli yetu ya WhatsApp

KARIBU RAUDHWA SEKONDARI – KIDATO CHA TANO
16 Jul 2026
KARIBU RAUDHWA SEKONDARI – KIDATO CHA TANO

Je, umechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano? Karibu sana Ra...

Nafasi za Masomo - Kidato cha Tano
16 Jul 2026
Nafasi za Masomo - Kidato cha Tano

Menejimenti ya Shule za Raudhwa inakutangazia Nafasi za Maso...

Takwimu Zetu

0%
Ufaulu wa Kitaaluma
0%
Maadili ya Kiislamu
0
Ufaulu
0%
Nidhamu Bora

Masomo na Programu Tunazotoa

Kutoa elimu bora ya kisasa iliyounganishwa na maarifa ya Kiislamu

Shule ya Msingi

Ubora wa Kiislamu na Kitasaluma
  • Kiswahili
  • English
  • Mathematics
  • Science
  • Social Studies
  • Maarifa ya Dini ya Kiislamu
  • Lugha ya Kiarabu

Shule ya Sekondari

Kuandaa Viongozi wa Kesho
  • Kiswahili
  • English
  • Mathematics
  • Physics
  • Chemistry
  • Biology
  • Geography
  • History
  • Civics
  • Commerce
  • Book Keeping
  • Computer Studies
  • Agriculture
  • Fine Art
  • Dini ya Kiislamu
  • Arabic

Kidato cha Tano

Maandalizi ya Elimu ya Juu
  • PCM – Fizikia, Kemia, Hisabati
  • PCB – Fizikia, Kemia, Biolojia
  • CBG – Kemia, Biolojia, Jiografia
  • EGM – Uchumi, Jiografia, Hisabati
  • HGL – Historia, Jiografia, Lugha
  • HKL – Historia, Kiswahili, Lugha
  • CBA – Biashara, Uhasibu, Hesabu
Angalia Programu Zote

Omba Sasa na Ujunge
na Safari ya Ufanisi

Fomu ya maombi ipo wazi kwa mwaka wa masomo 2027/2028

Habari Mpya

Taarifa za hivi karibuni kutoka shuleni

PRE FORM  ONE Events
18 Aug 2026

PRE FORM ONE

Jiunge na Chaneli yetu ya WhatsApp

Soma Zaidi
KARIBU RAUDHWA SEKONDARI – KIDATO CHA TANO School News
16 Jul 2026

KARIBU RAUDHWA SEKONDARI – KIDATO CHA TANO

Je, umechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano? Karibu sana Raudhwa Sekondari, mahali ambapo ndoto zak...

Soma Zaidi
Nafasi za Masomo - Kidato cha Tano Habari
16 Jul 2026

Nafasi za Masomo - Kidato cha Tano

Menejimenti ya Shule za Raudhwa inakutangazia Nafasi za Masomo 2026

Soma Zaidi
Wanafunzi wa Kidato cha Pili Waendelea na Masomo kwa Bidii Raudhwa Modern Islamic School School News
08 Jul 2026

Wanafunzi wa Kidato cha Pili Waendelea na Masomo kwa Bidii Raudhwa Modern Islamic School

Wanafunzi wa Kidato cha Pili katika Raudhwa Modern Islamic School wanaendelea na masomo yao kwa bidi...

Soma Zaidi
Wanafunzi wa Kidato cha Pili Waendelea na Masomo kwa Bidii Raudhwa Modern Islamic School School News
08 Jul 2026

Wanafunzi wa Kidato cha Pili Waendelea na Masomo kwa Bidii Raudhwa Modern Islamic School

Wanafunzi wa Kidato cha Pili katika Raudhwa Modern Islamic School wanaendelea na masomo yao kwa bidi...

Soma Zaidi
Wanafunzi wa Kidato cha Pili Waendelea na Masomo kwa Bidii Raudhwa Modern Islamic School School News
08 Jul 2026

Wanafunzi wa Kidato cha Pili Waendelea na Masomo kwa Bidii Raudhwa Modern Islamic School

Wanafunzi wa Kidato cha Pili katika Raudhwa Modern Islamic School wanaendelea na masomo yao kwa bidi...

Soma Zaidi
Angalia Habari Zote

Maoni ya Wanafunzi, Wazazi na Alumni

Watu wetu wanaosema kuhusu uzoefu wao na RAUDHWA Modern Islamic Schools

★★★★★

Raudhwa Modern Islamic School ni shule inayojenga maarifa, maadili na nidhamu kwa pamoja. Tunaona maendeleo ya mtoto wetu kila siku. Asanteni kwa huduma bora.

FOWAD FOWAD
FOWAD FOWAD
Mzazi wa Anat
★★★★★

Raudhwa Modern Islamic School imekuwa chaguo sahihi kwa familia yetu. Mtoto wetu amepata maendeleo makubwa ya kitaaluma, ameongeza kujiamini na amejengeka katika maadili mema. Tunathamini juhudi za walimu na uongozi wa shule katika kuhakikisha kila mwanafunzi anapata elimu bora na malezi yanayomwandaa kwa maisha ya baaday

Mzee Najim
Mzee Najim
MZAZU WA FADHILI
★★★★★

Nimefurahishwa na matokeo ya wanafunzi wa Kidato cha Sita 2026. Shule yetu inapambana sana

Shaffi Zubail
Shaffi Zubail
Mzazi wa Humayrah
★★★★★

Tangu mtoto wangu aanze kusoma Raudhwa Modern Islamic School nimeona mabadiliko makubwa katika nidhamu, maadili na ufaulu wake darasani. Walimu ni wenye kujituma, mazingira ya kujifunzia ni salama na ya kisasa, na malezi yanazingatia misingi ya dini pamoja na elimu bora. Ninajivunia kuwa sehemu ya familia ya Raudhwa na ninapendekeza shule hii kwa kila mzazi anayetafuta elimu yenye ubora na maadili."

baraka
baraka
Mzazi wa Baraka

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Najiungaje na Shule ya Raudhwa?
Karibu sana, Unaweza kujiunga na Shule ya Raudhwa kwa kupakua fomu ya kujiunga au kujaza fomu online kwenye tovuti yetu. Mchakato huo utahusisha malipo ya ada ya fomu kiasi cha Shilingi 20,000/= tu.

Wasiliana Nasi

Tuko hapa kukusaidia kwa maswali yako yote

Mawasiliano

Address

Nyakanazi, Biharamulo

Tuma Ujumbe